Highlights | Ruvu Shooting vs Simba SC (0-3) | VPL 03/06/2021

0 Просмотры
Издатель
RUVU VS SIMBA (0-3): Simba imeibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Dimba la CCM Kirumba, Mwanza.
Magoli mawili ya Simba yamefungwa na John Bocco na moja likifungwa na Chris Mugalu huku Ruvu Shooting wakikumbana na rungu la kadi mbili nyekundu zilizoelekea kwa beki Juma Nyoso na golikipa Abdallah Rashid.
Tazama hapa magoli yote na jinsi kadi nyekundu zilivyotokea.


Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:
Категория
Кино и сериалы
Комментариев нет.